• HABARI MPYA

    Monday, June 05, 2017

    RONALDO ASHEREHEKEA UBINGWA NA MNYOO MPYA

    Cristiano Ronaldo jana aliposti picha hii akiwa na mwonekano mpya baada ya kunyoa kufuatia kuiongoza Real Madrid kutwaa taji la pili mfululizo la Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa ushindi wa 4-1 dhidi ya Juventus ya Italia, yeye akifunga mabao mawili peke yake 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO ASHEREHEKEA UBINGWA NA MNYOO MPYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top