• HABARI MPYA

    Tuesday, June 06, 2017

    RONALDO ACHEZA MBELE YA MPENZI SHEREHE ZA UBINGWA

    Cristiano Ronaldo akicheza kwenye ndege binafsi mbele ya mpenzi wake, Georgina Rodriguez na rafiki zake wakati anasafiri kutoka Hispania kurejea Ureno katika kuendelezo wa sherehe za taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya Real Madrid kuifunga Juventus ya Italia mabao 4-1 mjini Cardiff, Wales huku yeye akifunga mabao mawili PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO ACHEZA MBELE YA MPENZI SHEREHE ZA UBINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top