• HABARI MPYA

    Saturday, June 10, 2017

    RONALDO WA ANGA ZINGINE, SI NA JANA KAPIGA MBILI URENO IKIUA 3-0

    Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 41 na 63 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Latvia usiku wa jana Uwanja wa Skonto mjini Riga katika mchezo wa Kuni B kufuzu Kombe la Dunia. Bao lingine la Ureno lilifungwa na Andre Silva dakika ya 67 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO WA ANGA ZINGINE, SI NA JANA KAPIGA MBILI URENO IKIUA 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top