• HABARI MPYA

  Thursday, June 08, 2017

  'PROFESA ZAMUNDA' ALIVYOSHIRIKI KONGAMANO LA SOKA CHINA

  Mmiliki wa klabu ya African Lyon ya Dar es Salaam, Rahim Kangenzi ‘Profesa Zamunda’ akichangia mada katika kongamano la soka China 2017 maarufu kama “China Football Summit” lililofanyika Juni 1 na 2, mwaka huu mjini Guangzhou, China
  Profesa Zamunda ambaye timu yake imeteremka Daraja kutoka Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu huu, akiwa na wanafunzi wa akademi ya Evergrande, ambayo ni kubwa kuliko zote duniani.
  Profesa Zamunda akiwa na Rais wa akademi ya Evergrande, Liu Jiangnan
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: 'PROFESA ZAMUNDA' ALIVYOSHIRIKI KONGAMANO LA SOKA CHINA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top