• HABARI MPYA

    Wednesday, June 07, 2017

    NIMAA AONYESHA NI MPENZI KWELI WA SIMBA, SI MANYIKA TU

    Shabiki maarufu wa Simba, Naima Salum 'Nimaa' na mpenzi wa zamani wa kipa wa timu hiyo, Peter Manyika (kushoto) akifuatilia mchezo wa SportPesa Super Cup baina ya Wekundu wa Msimbazi na Nakuru All Stars jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Simba ilitolewa kwa penalti 5-4 baada ya sare ya 0-0
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NIMAA AONYESHA NI MPENZI KWELI WA SIMBA, SI MANYIKA TU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top