• HABARI MPYA

    Monday, June 05, 2017

    MAPOKEZI YA REAL NI BALAA...WATU WAMWAGIKA MADRID

    Basi la wachezaji wa Real Madrid likipita katikati ya msitu wa mashabiki wa timu hiyo waliojitokeza mjini Madrid jana kuwalaki mashujaa wao wakirejea kutoka Cardiff, Wales ambako Jumamosi waliifunga Juventus ya Italia mabao 4-1 na kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya pili mfululizo 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAPOKEZI YA REAL NI BALAA...WATU WAMWAGIKA MADRID Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top