• HABARI MPYA

    Tuesday, June 13, 2017

    MABINGWA WA DUNIA ENGLAND WALIVYOREJEA NYUMBANI NA KOMBE LAO

    Kikosi cha timu ya taifa ya soka ya vijana chini ya umri wa miaka 20 cha England, baada ya kurejea nyumbani leo kufuatia kutwaa Kombe la Dunia Jumapili Korea Kusini kwa kuifunga 1-0 Venezuela kwenye fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MABINGWA WA DUNIA ENGLAND WALIVYOREJEA NYUMBANI NA KOMBE LAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top