• HABARI MPYA

    Sunday, June 11, 2017

    KAPTENI KANE AINUSURU ENGLAND KUPIGWA SCOTLAND, SARE 2-2

    Nahodha wa England kwa mara ya kwanza leo, Harry Kane akiifungia bao la kusawazisha 'Simba Watatu' dakika ya 90 na ushei katika sare ya 2-2 na wenyeji, Scotland kwenye mchezo wa Kundi F kufuzu Kombe la Dunia usiku wa Jumamosi Uwanja wa Hampden Park mjini Glasgow. England walitangulia kwa bao la Alex Oxlade-Chamberlain dakika ya 70, kabla ya Leigh Griffiths kufunga mara mbili mfululizo dakika za 87 na 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KAPTENI KANE AINUSURU ENGLAND KUPIGWA SCOTLAND, SARE 2-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top