• HABARI MPYA

  Saturday, June 10, 2017

  ILI KUJUA KESHO PATACHIMBIKA SHAMBA LA BIBI, CHEKI GOR NA AFC ZILIVYOMENYANA TANGU 1968


  WAPINZANI wa jadi katika soka ya Kenya, Gor Mahia na AFC Leopards watamenyana katika fainali ya michuano mipya kabisa, SportPesa Super Cup kesho Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kuanzia Saa 10:00.
  Je, mchezo huo maarufu kama Derby ya Mashemeji utakuwa wa ngapi kuzikutanisha timunhizo? Cheki rekodi hapo chini 
  Gor Mahia vs AFC 2013 2014 2015
  David Owino Noah Wafula AFC Gor Mahia 2013
  Wote, Noah Wafula na David Owino walifunga katika Derby ya Mashemeji mwaka 2013.  AFC waliongoza kwa mabao mawili, kabla ya Sserunkuma na Owino kuisawazishia Gor Mahia mchezo ukaisha 2-2
  Gor Mahia vs AFC 2006 to 2012

  Gor Mahia vs AFC Leopards 1998 to 2005
  Tom Ochieng against Wycliff Jumba
  Mtaalamu wa pasi wa Gor Mahia, Tom Ochieng akimtoka Wycliff Jumba wa AFC Leopards mwishoni mwa miaka 1990
  Gor Mahia vs AFC Leopards 1992 to 1997
  Gor Mahia vs AFC Leopards 1986 to 1991
  Dawo Sunguti Ndolo Maitsi
  Kipa wa AFC Leopards, Kennedy Maitsi, beki George Sunguti na mshambuliaji wa Gor Mahia, Peter Dawo na Anthony Ndolo katika Derby Mashemeji mwaka 1989
  Gor Mahia vs AFC Leopards 1982 to 1985
  Timothy Madonye and Maurice Ole Tunda
  Manahodha Timothy Madonye wa AFC Leopards na Maurice Ouma Ole Tunda wa Gor Mahia katika Derby ya Mashemeji katikati ya miaka 1970
  Gor Mahia vs AFC leopards 1976 to 1991
  Gor Mahia vs AFC Leopards 1968 to 1975
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ILI KUJUA KESHO PATACHIMBIKA SHAMBA LA BIBI, CHEKI GOR NA AFC ZILIVYOMENYANA TANGU 1968 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top