• HABARI MPYA

    Saturday, June 10, 2017

    DULLAH MBABE KUZIPIGA NA MAGANGA DAR JULAI 15

    Promota wa Dotto Texas (katikati) akiwa amewainua mikono mabondia Jackob Maganga wa Tanga (kushoto) na Abdallah Pazi 'Dulla Mbabe' (kulia) wakati wa kutambulisha pambano baina yao la uzito wa Middle litakalofanyika Julai 15, mwaka huu mjini Dar es Salaam
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DULLAH MBABE KUZIPIGA NA MAGANGA DAR JULAI 15 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top