• HABARI MPYA

  Wednesday, June 14, 2017

  DIEGO SOUZA AFUNGA MAWILI, BRAZIL YAIFUMUA AUSTRALIA 4-0

  Diego Souza akishangilia baada ya kuifungia Brazail bao la kwanza sekunde ya 11 tu katika ushindi wa 4-0 kwenye mchezo wa kirafiki jana dhidi ya wenyeji Australia Uwanja wa Kriketi wa Melbourne. Souza alifunga bao la nne pia dakika ya 90 na ushei, wakati mabao mengine ya Brazil yalifungwa na Thiago Silva dakika ya 62 na Taison dakika ya 75 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DIEGO SOUZA AFUNGA MAWILI, BRAZIL YAIFUMUA AUSTRALIA 4-0 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top