• HABARI MPYA

  Wednesday, June 14, 2017

  DI MARIA AFUNGA BONGE LA BAO, ARGENTINA YAUA 6-0

  Angel Di Maria akijikunja kuifungia Argentina bao la sita dakika ya 90 na ushei katika ushindi wa 6-0 dhidi ya wenyeji, Singapore jana Uwanja wa Taifa wa Singapore kwenye mchezo wa kirafiki. Mabao mengine yalifungwa na Fazio dakika ya 25, Correa dakika ya 31, Gomez dakika ya 60, Paredes dakika ya 74 na Alario dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DI MARIA AFUNGA BONGE LA BAO, ARGENTINA YAUA 6-0 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top