• HABARI MPYA

    Monday, June 12, 2017

    COSTA AIFUNGA LA USHINDI HISPANIA YAILAZA MACEDONIA 2 -1

    Diego Costa akishangilia baada ya kuifungia Hispania bao ka pili dakika ya 37 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Macedonia usiku wa jana Uwanja wa Nacionalna Arena mjini Filip II Makedonski, Skopje kwenye mchezo wa Kundi G kufuzu Kombe la Dunia. David Silva alianza kuifungia Hispania dakika ya 15, kabla ya Stefan Ristovski kuisawazishia Macedonia dakika ya 66 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: COSTA AIFUNGA LA USHINDI HISPANIA YAILAZA MACEDONIA 2 -1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top