• HABARI MPYA

  Monday, June 05, 2017

  BUFFON NA JUVE WALIVYOREJEA NYUMBANI TURIN KINYONGE JANA

  Kipa mkongwe Gianluigi Buffon akiwapungia mashabiki wakati akiwasili Uwanja wa Ndege wa Caselle mjini Turin, Italia jana wakirejea kutoka Cardiff, Wales ambako usiku wa juzi walifungwa 4-1 na Real Madrid katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BUFFON NA JUVE WALIVYOREJEA NYUMBANI TURIN KINYONGE JANA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top