• HABARI MPYA

  Monday, June 12, 2017

  BELOTTI 'WA MAN UNITED', AFUNGA NA KUSETI BAO ITALIA IKIUA 5-0

  Andrea Belotti anayetakiwa na Manchester United kutoka Torino, akishangilia baada ya kuifungia Italia bao la pili dakika ya 52 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Kundi G kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Liechtenstein usiku wa jana Uwanja wa Dacia Arena, Udine. Belloti pia alimsetia Eder Martins kufunga la tatu dakika ya 74, wakati mabao mengine ya Azzuri yamefungwa na Lorenzo Insigne dakika ya 35, Fernando Bernardeschi dakika ya 83 na Manolo Gabbiadini dakika ya 92 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BELOTTI 'WA MAN UNITED', AFUNGA NA KUSETI BAO ITALIA IKIUA 5-0 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top