• HABARI MPYA

  Saturday, June 10, 2017

  AZAM FC HAWATAKI 'MASIKHARA', YASAINI WATATU NDANI YA WIKI

  Meneja Mkuu wa Azam FC, Abdul Mohammed (kulia) akimkabidhi jezi ya klabu hiyo kiungo, Salmin Hoza baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili akitokea Mbao FC ya Mwanza. Huyo anakuwa mchezaji wa tatu mpya kusajiliwa na timu ya Alhaj Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa na familia yake ndani ya wiki moja, baada ya washambuliaji Waziri Junior kutoka Toto Africans ya Mwanza pia na Mbaraka Yussuf kutoka Kagera Sugar ya Bukoba 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC HAWATAKI 'MASIKHARA', YASAINI WATATU NDANI YA WIKI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top