• HABARI MPYA

    Saturday, June 10, 2017

    ARGENTINA WAIGONGA 1-0 BRAZIL KIRAFIKI AUSTRALIA

    Nyota wa Argentina, Lionel Messi akimiliki mbele ya mshambuliaji wa Brazil, Gabriel Jesus katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa jana Uwanja wa Kriketi wa Melbourne mjini Melbourne, Australia. Argentina ilishinda 1-0, bao pekee la Gabriel Mercado dakika ya 45 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ARGENTINA WAIGONGA 1-0 BRAZIL KIRAFIKI AUSTRALIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top