• HABARI MPYA

  Wednesday, May 17, 2017

  ZABALETA AAGA MAN CITY IKIITANDIKA WBA 4-1

  Beki Pablo Zabaleta akiwa amerushwa juu na wachezaji wenzake baada ya kuichezea Manchester City mechi ya mwisho Uwanja wa Etihad usiku wa Jumanne akihitimisha miaka yake tisa ya mafanikio kwa ushindi wa 3-1 dhidi ya West Bromwich Albion. Mabao ya Man City yamefungwa na Gabriel Jesus dakika ya 27, Kevin De Bruyne dakika ya 29 na Yaya Toure dakika ya 57, wakati la WBA limefungwa na Hal Robson-Kanu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ZABALETA AAGA MAN CITY IKIITANDIKA WBA 4-1 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top