Wachezaji wa Yanga wakisherehekea na Kombe lao la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya kukabidhiwa leo Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza wakitoka kufungwa 1-0 na wenyeji Mbao FC kwenye mchezo wa mwisho wa ligi hiyo
Beki Hassan Kessy akifurahia na Medali yake
Kiungo Mzimbabwe, Thabani Kamusoko akifurahia na Kombe la chumbani kwake hotelini Mwanza
Kipa Deo Munishi 'Dida' akifurahia na Kombe kwenye gari baada ya mechi
Warembo wakiwa wameshika Kombe tayari kukabidhiwa kwa Yanga ambalo sasa inalichukua moja kwa moja baada ya kulitwaa mara tatu mfululizo







.png)
0 comments:
Post a Comment