• HABARI MPYA

    Wednesday, May 17, 2017

    YANGA NA TOTO AFRICANS KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe (kulia) akimtoka beki wa Toto Africans ya Mwanza katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 1-0 

    Mshambuliaji wa Yanga, Mzambia Obrey Chirwa (kulia) akimtoka beki wa Toto Africans 


    Winga wa Yanga, Geoffrey Mwashiuya akimtoka beki wa Toto Africans

    Obrey Chirwa akiruka kuwania mpira wa juu dhidiya mchezaji wa Toto

    Beki wa Yanga, Juma Abdul (kulia) akimpa mateso mchezaji wa Toto
    Nahodha wa Yanga, Nadir Harroub 'Cannavaro' (wa pili) akimpongeza mfungaji wa bao pekee kwenye ushindi wa jana, Anmssi Tambwe
    Hapa Amissi Taambwe (kushoto) na Emmanuel Martin (kulia) wakishangilia mbele ya mashabiki wa timu yao
    Mashabiki wa Yanga wakifurahia na Kombe feki jukwaani jana 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA TOTO AFRICANS KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top