• HABARI MPYA

    Sunday, May 14, 2017

    YANGA NA MBEYA CITY KATIKA PICHA JANA

    Kiungo Mzimbabwe wa Yanga, Thabani Kamusoko akiruka juu ya wachezaji wa Mbeya City kupiga kichwa katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-1 
    Beki wa Yanga, Juma Abdul akiruka juu kupiga kichwa dhidi ya kiungo wa Mbeya Ciry, Mrisho Ngassa
    Beki wa Yanga, Mwinyi Mngwali (kulia) akimtoka Hassan Mwasapili wa Mbeya Ciy
    Kiungo wa Yanga, Emmanuel Martin akijaribu kupiga mpira mbele ya kiungo wa Mbeya City, Mmalawi Sankani Mkandawile
    Kiungo wa Mbeya City, Bryson Raphael akiwatoka wachezaji wa Yanga
    Beki wa Mbeya City, Haruna Shamte akimtoka mshambuliaji wa Yanga, Mzambia, Obrey Chirwa
    Beki wa Mbeya City, Tumba Lui swedi akipambana na winga wa Yanga, Geoffrey Mwashiuya
    Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe akimtoka beki wa Mbeya City, Hassan Mwasapili (kulia). Kushoto ni winga Simon Msuva wa Yanga
    Benchi la Ufundi la Yanga kutoka kulia kocha wa makipa, Juma Pondamali, Kocha wa Fiziki, Mzambia Noel Mwandila, Kocha Mkuu Mzambia George Lwandamina na Kocha Msaidizi, Juma Mwambusi 
    Benchi la Ufundi la Mbeya City kutoka kualia Kocha Mkuu, Mmalawi Kinnah Phiri, Kocha Msaidizi Mohammed Kijuso, Kocha wa makipa Josiah Steven na Meneja Geoffrey Katepa
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA MBEYA CITY KATIKA PICHA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top