• HABARI MPYA

  Sunday, May 14, 2017

  WANYAMA AIADHIBU MAN UNITED SPURS YAAGA KWA USHINDI WHITE HART LANE

  Kiungo Mkenya, Victor Wanyama akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Tottenham Hotspur dakika ya sita katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Manchester United leo Uwanja wa White Hart Lane kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao la pili limefungwa na Harry Kane dakika ya 48 na la Mashetani Wekundu limefungwa na Wayne Rooney dakika ya 71 Spurs wakihitimisha kuutumia Uwanja huo baada ya 118. Spurs watahamia kwenye Uwanja wa Wembley msimu ujao kupisha ukarabati kwenye White Hart Laje hadi Agosti 2018 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WANYAMA AIADHIBU MAN UNITED SPURS YAAGA KWA USHINDI WHITE HART LANE Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top