• HABARI MPYA

  Friday, May 12, 2017

  SPORTPESA WALIVYOTIMIZA AHADI YAO SERENGETI BOYS JANA

  Mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji wa Kampuni ya SportPesa Tanzania, Abbas Tarimba akimkabidhi mfano wa hundi ya malipo ya Sh Milioni 50 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe jana, ikiwa ni kutimiza ahadi ya kuichangia timu ya soka ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys katika ushiriki wake wa Fainali za Afrika nchini Gabon, michuano inayotarajiwa kuanza Jumapili nchini humo. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SPORTPESA WALIVYOTIMIZA AHADI YAO SERENGETI BOYS JANA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top