• HABARI MPYA

    Saturday, May 13, 2017

    SIMBA NA STAND UNITED KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Mshambuliaji wa Simba, Laudit Mavugo (kushoto), akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Stand United ya Shinyanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 2-0
    Laudit Mavugo (kulia) na Mohammed 'Mo' Ibrahim (kushoto) wakimpongeza Juma Luizio baada yaa kufunga mabao mawili katika ushindi wa 2-0 jana
    Kiungo wa Simba, Muzamil Yassin akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Stand United
    Muzamil Yassin akipiga shuti mbele ya wachezaji wa Stand United
    Kikosi cha Simba katika mchezo wa jana na chini ni kikosi cha Stand United

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA NA STAND UNITED KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top