• HABARI MPYA

  Friday, May 12, 2017

  SHABIKI ALIYEAMUA KUWAFUNDISHA 'ALIFU KWA KIJITI' VIONGOZI YANGA

  Shabiki wa Yanga (kulia) akiwa amebandika nembo ya klabu kwenye shati na kofia yake kudhihirisha mapenzi yake kwa klabu hiyo wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar Jumanne wiki hii. Ubunifu wa shabiki huyu unawaonyesha viongozi wa Yanga namna wanavyoshindwa kuitumia nembo ya klabu hiyo kibiashara, kwani wangeweza kutengeneza bidhaa mbalimbali hususan mavazi yenye nembo hiyo na Yanga ingenufaika kifedha.
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SHABIKI ALIYEAMUA KUWAFUNDISHA 'ALIFU KWA KIJITI' VIONGOZI YANGA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top