• HABARI MPYA

  Friday, May 19, 2017

  SERENGETI BOYS NA ANGOLA KATIKA PICHA JANA

  Beki wa Tanzania, Nickson Kibabage akimzunguka kwa chenga matata mchezaji wa Angola, Jelson Joao Mivo katika mchezo wa Kundi B Fainali za U-17 Afrika jana Uwanja wa L'Amittee mjini Libreville, Gabon. Tanzania ilishinda 2-1

  Mfungaji wa bao la pili la Serengeti Boys, Abdul Suleiman akipambana katikati ya wachezaji wa Angola, kipa Nsensani Emanuel Simao (kulia) na beki wake, Miguel Anselmo Basilio Daniel 
  Mshambuliaji wa Tanzania, Yohanna Oscar Nkomola (kulia) akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Angola, Miguel Anselmo Basilio Daniel   
  Kiungo wa Tanzania, Assad Ali akienda chini kuondosha mpira miguuni mwa Jelson Joao Mivo wa Angola

  Mfungaji wa bao la kwanza la Tanzania, Kevin Nashon Naftal akiwatoka wachezaji wa Angola

  Shaaban Zubeiry Ada wa Serengeti Boys akimtoka mchezaji wa Angola, Fiete Quintas Agostinho dos Santos 

  Enrick Vitalis Nkosi wa Tanzania nyuma ya mchezaji wa Angola

  Beki wa Angola, Miguel Anselmo Basilio Daniel akiokoa mpira kwa kichwa dhidi ya Abdul Suleiman wa Tanzania

  Kikosi cha Serengeti Boys jana na chini ni kikosi cha Angola


  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SERENGETI BOYS NA ANGOLA KATIKA PICHA JANA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top