• HABARI MPYA

    Thursday, May 18, 2017

    RONALDO APIGA MBILI, REAL MADRID YAICHAPA 4-1 CELTA VIGO

    Cristiano Ronaldo (kulia) akishangilia na Isco baada ya kuifungia Real Madrid mabao mawili dakika za 10 na 48 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Celta Vigo Uwanja wa Balaidos mjini Vigo kwenye mchezo wa La Liga. Mabao mengine ya Real yamefungwa na Karim Benzema dakika ya 70 na Toni Kroos dakika ya 88. Bao la Celta Vigo limefungwa na John Guidetti dakika ya 69 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO APIGA MBILI, REAL MADRID YAICHAPA 4-1 CELTA VIGO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top