• HABARI MPYA

  Thursday, May 18, 2017

  RONALDO APIGA MBILI PEKEYAKE, URENO YAFA 2-1

  Cristiano Ronaldo (kulia) akishangilia na Isco baada ya kuifungia Real Madrid mabao mawili dakika za 10 na 48 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Celta Vigo Uwanja wa Balaidos mjini Vigo kwenye mchezo wa La Liga. mabao mengine ya Real yamefungwa na 
  Karim Benzema dakika ya 70 na Toni Kroos dakika ya 88. Bao la Celta Vigo limefungwa na John Guidetti dakika ya 69 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO APIGA MBILI PEKEYAKE, URENO YAFA 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top