• HABARI MPYA

    Monday, May 15, 2017

    RONALDO AFUNGA MAWILI, REAL MADRID YASHINDA 4-1 LA LIGA

    Cristiano Ronaldo akishangilia kibabe baada ya kuifungia Real Madrid mabao mawili dakika za 23 na 78 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Sevilla usiku wa jana kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Bernabeu. Mabao mengine ya Real Madrid yalifungwa na Nacho dakika ya 10 na Toni Kroos dakika ya 83, wakati la Sevilla lilifungwa na Stevan Jovetic dakika ya 49 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO AFUNGA MAWILI, REAL MADRID YASHINDA 4-1 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top