• HABARI MPYA

    Friday, May 12, 2017

    PEDRO ASHINDA TUZO BAO BORA LA MWEZI LIGI KUU ENGLAND

    Mshambuliaji wa Chelsea, Pedro Rodriguez akiwa ameshika tuzo yake ya Mfungaji wa Bao Bora la mwezi Aprili mwaka huu katika Ligi Kuu ya England baada ya kukabidhiwa jana. Pedro ameshinda tuzo hiyo kutokana na bao lake alilofunga katika mechi dhidi ya Everton Uwanja wa Goodison Park PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PEDRO ASHINDA TUZO BAO BORA LA MWEZI LIGI KUU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top