• HABARI MPYA

  Wednesday, May 17, 2017

  NI MIAKA MITANO SASA TANGU MAFISANGO ATUTOKE

  Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima (kulia) akisalimiana na aliyekuwa kiungo wa Simba, Patrick Mutesa Mafisango baada ya mchezo wa Ngao ya Jamii Agosti 17, mwaka 2011 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 2-0, mabao ya Haruna Moshi ‘Boban’ dakika ya 15 na Felix Sunzu dakika ya 38. Leo ni miaka mitano tangu Mafisango afariki kwa ajali ya gari Mei 17, mwaka 2012 akiwa mchezaji wa Simba SC. Mungu amsamehe dhambi zake na ampumzishe kwa amani daima. Amin.
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NI MIAKA MITANO SASA TANGU MAFISANGO ATUTOKE Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top