• HABARI MPYA

    Monday, May 15, 2017

    NEYMAR APIGA TATU PEKE YAKE BARCA YAUA 4-1 LA LIGA

    Nyota Mbrazil, Neymar Junior akionyesha tattoo ya mama yake baada ya kufunga hat-trick dakika za 25, 67 na 71 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Las Palmas usiku wa jana Uwanja wa Gran Canaria kwenye mchezo wa La Liga. Bao lingine la Barcelona lilifungwa na Luis Suarez dakika ya 27 wakati la Las Palmas lilifungwa na Pedro Bigas dakika ya 63 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NEYMAR APIGA TATU PEKE YAKE BARCA YAUA 4-1 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top