• HABARI MPYA

  Thursday, May 18, 2017

  MONACO BINGWA WA SOKA UFARANSA 2017, YAIPIGA ST ETIENNE 2-0

  Nahodha wa Monaco, Radamel Falcao akisherehekea na Kombe la Ligi 1 ya Ufarana baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya St. Etienne usiku wa jana Uwanja wa Louis II mjini Monaco na kujihakikishia ubingwa wa Ligi Kuu ya nchi huyo kwa mabao ya Kylian Mbappe dakika ya 19 na Valere Germain dakika ya 90 na ushei, hilo likiwa taji lao la kwanza la ligi hiyo tangu mwaka 2000 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MONACO BINGWA WA SOKA UFARANSA 2017, YAIPIGA ST ETIENNE 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top