• HABARI MPYA

    Thursday, May 18, 2017

    MAN UNITED YATOA SARE NA SOUTHAMPTON 0-0, ROMERO AOKOA PENALTI

    Nahodha wa Manchester United, Wayne Rooney akimtoka mchezaji wa Southampton katika mechi ya Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa St. Mary's timu hizo zikitoka sare ya 0-0. Southampton walizawadiwa penalti ndani ya dakika tano za mwanzo baada ya Eric Bailly kuunawa mpira nje ya boksi, lakini kipa Sergio Romero akaokoa mkwaju wa Manolo Gabbiadini PICHA ZAIDI GONBA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN UNITED YATOA SARE NA SOUTHAMPTON 0-0, ROMERO AOKOA PENALTI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top