• HABARI MPYA

    Friday, May 12, 2017

    MAN UNITED YAINGIA FAINALI UEFA EUROPA LEAGUE, KUMENYANA NA AJAX

    Marouane Fellaini (kulia) akishangilia na Jesse Lingard (kushoto) baada ya kuifungia timu yake bao dakika ya 17 katika sare ya 1-1 na Celta Vigo ya Hispania kwenye mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali ya Europa League usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford. Bao la Vigo lilifungwa na Facundo Roncaglia dakika ya 85 na Man United inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 2-1 baada ya kushinda 1-0 Hispania wiki iliyopita na itakutana na Ajax katika fainali Mei 24 nchini Sweden. Refa Ovidiu Alin Hategan wa Romania aliwatoa kwa kadi nyekundu wote, Roncaglia wa Celta Vigo na Eric Bailly kufuatuia kugombana PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN UNITED YAINGIA FAINALI UEFA EUROPA LEAGUE, KUMENYANA NA AJAX Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top