• HABARI MPYA

    Monday, May 15, 2017

    MALINZI ALIPOKUTANA NA KIJANA WAKE KOMBA LEO LIBREVILLE

    Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi (kushoto) akisalimiana na refa pekee Mtanzania, Frank John Komba aliyeteuliwa kwenye Fainali za Vijana Afrika chini ya umri wa miaka leo Uwanja wa l’Amitie Sino mjini Libreville, Gabon wakati wa mchezo kati ya Serengeti Boys na Mali, ambazo zimegawana pointi baada ya kutoka sare ya 0-0 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MALINZI ALIPOKUTANA NA KIJANA WAKE KOMBA LEO LIBREVILLE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top