• HABARI MPYA

  Saturday, May 20, 2017

  TERRY TAYARI KUAGA CHELSEA BAADA YA KAZI NZURI TANGU 1995

  Beki John Terry (wa pili kulia) akiwania mpira dhidi ya nyota kinda, Nathaniel Chalobah wakati wa mazoezi ya Chelsea kujiandaa na mechi ya mwisho ya Ligi Kuu ya England dhidi ya Sunderland Jumapili. Terry mwenye umri wa miaka 36 sasa, anatarajiwa kuaga Chelsea siku hiyo baada ya kucheza mechi 716 tangu 1995 alipowasili akiwa kijana mdogo kabisa PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TERRY TAYARI KUAGA CHELSEA BAADA YA KAZI NZURI TANGU 1995 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top