• HABARI MPYA

    Saturday, May 13, 2017

    JESUS AIPIGIA LA USHINDI MAN CITY YAILIPUA LEICESTER CITY 2-1

    Mshambuliaji kinda wa miaka 20, Mbrazil, Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Manchester City kwa penalti dakika ya 36 ikiwalaza Leicester City 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Bao lingine la City limefungwa na David Silva dakika ya 29 wakati la Leicester limefungwa na Shinji Okazaki dakika ya 42 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JESUS AIPIGIA LA USHINDI MAN CITY YAILIPUA LEICESTER CITY 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top