• HABARI MPYA

    Sunday, May 14, 2017

    ENZI ZAKE, LEODEGAR TENGA ALIKUWA ‘MTU WA BATA’ PIA

    Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodegar Tenga (kushoto) akifurahia kwa vinywaji na wanafunzi wenzake wa Chuo Kikuu cha Dar e Salaam (UDSM) mwaka ya 1981. Tenga ni beki wa zamani wa Yanga, Pan Africans na timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ambaye pia amewahi kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Soika Afrika Mashariki na Kati (CECAFA).
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ENZI ZAKE, LEODEGAR TENGA ALIKUWA ‘MTU WA BATA’ PIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top