• HABARI MPYA

  Friday, May 12, 2017

  BAYI ALIVYOFUNGA KOZI YA UONGOZI WA MICHEZO LEO TAIFA

  Mhasibu wa kampuni ya Bakhresa Limited, Abdulkarim Amin 'Popat' (kushoto) akipokea cheti cha kuhitimu kozi ya wiki moja ya uongozi wa michezo, iliyoandaliwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TF) kutoka kwa mgeni rasmi, Katibu ya Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Filbert Bayi (kulia), ambaye pia ni mwanariadha maarufu wa zamani wa kimataifa 
  Bayi ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Ufundi ya IAAF (Shirikisho la Kimataifa ya Riadha) akimkabidhi cheti chake, Fatma Shibo, Ofisa wa Bodi ya Ligi ya TFF
  Hapa ni zamu ya Mhasibu wa TFF, Danny Msangi ambaye pia ni Meneja wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars 
  Hapa ni zamu ya Meneja wa klabu ya Yanga, Hafidh Saleh
  Hapa ni zamu ya Meneja wa Azam FC, Philipo Alando
  Na Hapa ni washiriki wote katika picha ya pamoja na viongozi
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BAYI ALIVYOFUNGA KOZI YA UONGOZI WA MICHEZO LEO TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top