• HABARI MPYA

  Saturday, May 13, 2017

  BATSHUAYI AIHAKIKISHIA UBINGWA CHELSEA ENGLAND, YAIGONGA WEST BROM 1-0

  Mshambuliaji Mbelgiji, Michy Batshuayi akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao pekee usiku huu dakika ya 82 ikishinda 1-0 dhidi ya wenyeji West Bromwich Albion Uwanja wa The Hawthorns na kujihakikishia ubingwa wa Ligi Kuu ya England baada ya mechi 36 ikifikisha pointi 87, ambazo haziwezi kufikiwa na timu nyingine yoyote PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BATSHUAYI AIHAKIKISHIA UBINGWA CHELSEA ENGLAND, YAIGONGA WEST BROM 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top