• HABARI MPYA

  Wednesday, April 05, 2017

  TRA WAACHIA BASI LA TAIFA STARS, ALFRED ALICHUKUA 'FASTA' ASUBUHI

  Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Alfred Lucas akipanda basi la wachezaji wa timu ya taifa baada ya kuachiwa leo kufuatia kukamatwa jana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kupitia kampuni ya udalali na minada ya Yono 
  TRA waliiagiza Yono kukamata basi hilo kutokana na madeni ya kodi ya TFF  

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TRA WAACHIA BASI LA TAIFA STARS, ALFRED ALICHUKUA 'FASTA' ASUBUHI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top