• HABARI MPYA

  Monday, April 03, 2017

  SIMBA NA KAGERA SUGAR KATIKA PICHA JANA KAITABA

  Mshambuliaji wa Kagera Sugar, Mbaraka Yussuf Abeid (kulia) akiwapita wachezaji wa Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Kaitaba, Bukoba. Kagera Sugar ilishinda 2-1  
  Mshambuliaji wa Kagera Sugar, Christopher Edward akilala chini kuondosha mpira miguuni mwa winga wa Simba, Shiza Kichuya
  Christopher Edward akilala kwa mara nyingine kuondosha mpira miguuni mwa kiungo Mghana wa Simba, James Kotei
  Beki wa Kagera Sugar, Mohammed Fakhi akinyoosha mguu kuondosha mpira miguuni mwa kiungo wa Simba, Said Ndemla anayejaribu kupiga
  Mshambuliaji wa Simba, Mrundi Laudit Mavugo akiwa amemuangukia beki wa Kagera Sugar, Mohammed Fakhi  
  Kiungo na Nahodha wa Kagera Sugar, George Kavilla akimfunga tela Laudit Mavugo 
  Mashabiki wa Simba waliokosa nafasi ya kuingia uwanjani jana walipanda juu ya miti
  Mashabiki wa Kagera Sugar wakifurahia burudani ya timu yao jana Uwanja wa Kaitaba
  Kikosi cha Kagera Sugar jana na chini ni kikosi cha Simba

  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA NA KAGERA SUGAR KATIKA PICHA JANA KAITABA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top