• HABARI MPYA

  Tuesday, April 04, 2017

  SERENGETI BOYS NA BLACK STARLETS KATIKA PICHA JANA TAIFA

  Mshambuliaji wa timu ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys, Assad Juma (kulia) akimtoka Lavesh Gabriel wa Ghana, Back Starlets katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2
  Kiungo wa Tanzania, Shaaban Zubeiry Ada (katikati) akimdhibiti kiungo wa Ghana, Lavesh Gabriel (kushoto)
  Kiungo wa Tanzania, Abdallah Rashid (kulia) akitafuta maarifa ya kuwapita wachezaji wa Ghana
  Beki wa Tanzania, Nickson Kibabage akimlamba chenga mchezaji wa Ghana
   Shaaban Zubeiry wa Serengeti Boys akipiga mpira mbele ya  Lavesh Gabriel wa Ghana
  Waziri wa Habari Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk Harison Mwakyembe akizungumza wakati wa kukabidhi bendera ya taifa kwa wachezaji wa Serengeti Boys ambao Jumatano wanakwenda Morocco kuweka kambi ya mwezi mmoja kujiandaa fainali za Mataifa ya Afrika nchini Gabin mwezi ujao
  Waziri Mwakyembe (kulia) akimkabidhi bendera Nahodha wa Serengeti Boys, Ally Msengi (katikati) na kushoto ni Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi  
  Sehemu ya wanafunzi wa shule ya Msingi waliohudhuria mchezo wa jana
  Kikosi cha jana kilichoanza mechi ya jana na kikosi ni kikosi cha Tanzania

  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SERENGETI BOYS NA BLACK STARLETS KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top