• HABARI MPYA

    Thursday, April 06, 2017

    OZIL, WALCOTT NA GIROUD WAING'ARISHA ARSENAL EMIRATES

    Theo Walcott akishangilia na Mesut Ozil baada ya wote kuifungia Arsenal ikiwalaza wapinzani wao wa London, West Ham United mabao 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa leo Uwanja wa Emirates. Ozil alifunga dakika ya 58, Walcott dakika ya 68 wakati lingine lilifungwa na Olivier Giroud dakika ya 83 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: OZIL, WALCOTT NA GIROUD WAING'ARISHA ARSENAL EMIRATES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top