• HABARI MPYA

  Thursday, April 06, 2017

  MORATA APIGA HAT TRICK REAL MADRID YASHINDA 4-2 UGENINI LA LIGA

  Alvaro Morata akipongezwa na James Rodriguez baada ya kuifungia mabao matatu Real Madrid dakika za 18, 23 na 48 katika ushindi wa 4-2 dhidi ya wenyeji, Leganes usiku wa jana Uwanja wa Manispaa ya Butarque, Leganes kwenye mchezo wa La Liga. Bao lingine la Real lilifungwa na Rodriguez dakika ya 15, wakati ya Leganes yalifungwa na Gabriel dakika ya 32 na Luciano dakika ya 34 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MORATA APIGA HAT TRICK REAL MADRID YASHINDA 4-2 UGENINI LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top