• HABARI MPYA

    Thursday, April 06, 2017

    MESSI APIGA MBILI, MOJA SUAREZ BARCELONA YAITANDIKA SEVILLA 3-0

    Lionel Messi akiruka juu kwa furaha baada ya kufunga mabao mawili dakika za 28 na 33 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Sevilla kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Bao lingine lilifungwa Luis Suarez dakika ya 25 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MESSI APIGA MBILI, MOJA SUAREZ BARCELONA YAITANDIKA SEVILLA 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top