• HABARI MPYA

  Thursday, April 06, 2017

  LIVERPOOL YALAZIMISHWA SARE 2-2 ANFIELD NA BOURNEMOUTH


  Divock Origi akiruka juu kuifungia Liverpool bao la pili dakika ya 59 katika sare ya 2-2 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Bournemouth usiku wa Jumatano Uwanja wa Anfield. Bao lingine la Livrpool yaliiungwa Philippe Coutinho dakika ya 40, wakati ya Swansea yalifungwa na Benik Afobe dakika ya saba na Joshua King dakika ya 87 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YALAZIMISHWA SARE 2-2 ANFIELD NA BOURNEMOUTH Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top