• HABARI MPYA

    Wednesday, April 05, 2017

    LEICESTER CITY YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI ENGLAND

    Mshambuliaji Islam Slimani akisujudu kumshukuru Mungu baada ya kufunga bao dakika ya 69 jana Uwanja wa King Power katika ushindi wa 2-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Sunderland. Bao lingine lilifungwa na Jamie Vardy dakika 78 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LEICESTER CITY YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top