• HABARI MPYA

    Thursday, April 06, 2017

    HAZARD AWAPA RAHA CHELSEA ENGLAND, APIGA ZOTE MBILI MAN CITY YAFA 2-1

    Eden Hazard akipongezwa na Pedro na Marcos Alonso baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya 10 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Manchester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge, London. Hazard alifunga bao la pili la Chelsea pia dakika ya 35, wakati la Man City lilifungwa na Sergio Aguero dakika ya 26 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HAZARD AWAPA RAHA CHELSEA ENGLAND, APIGA ZOTE MBILI MAN CITY YAFA 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top